Thursday, June 16, 2016

IBRA DA HUSTLER ASEMA JOKATE NDIYE MWANAMKE ANAEMPENDA

Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibrah Da Hustler amesema staa wa kike anayetamani kuwa na uhusiano naye ni Jokate Mwegelo.

Jokate

Hustler amesema Jojo ana kila sifa anazozitaka kutoka kwa mwanamke. Na kiukweli amemmwagia sifa za kutosha.

“Choice yangu mimi kama kudate na kastaa ka Bongo katakuwa kale kabinti kanachoitwa Jokate Mwegelo, she is fly meeen, I like her height, she got nice lips, she is so cute,” Ibrah alimuambia mtangazaji wa Jembe FM, JJ.

“Napenda smile yake, napenda style yake, napenda kila kitu chake, jinsi anavyoongea, anavyotembea, she is so high above the sea level, true say, no lie, mtoto mkali sana yaani,” aliongeza.
“Jokate Mwegelo you got me on my zone girl.”

Msikilize hapo chini. CLICK

No comments:

Post a Comment