Wednesday, June 22, 2016

IGGY AZALEA AKANA TAARIFA ZA KURUDIANA NA MPENZI WAKE WA ZAMANI NICK YOUNG.

Baada ya kuvunjika kwa mahusiano yao hivi karibuni, rapper Iggy Azalea amefafanua tetesi za kurudiana na mchumba wake mchezaji wa kikapu, Nick Young baada ya kuonekana akiingia kwenye nyumba waliokuwa wanaishi huko Los Angeles.

http://imb.ulximg.com/image/src/artist/1393279974_8b1fff597e4a31d43d3b51fa96a01c25.jpg/dde35fd98bb395cb92a88ee0c2fe8a29/1393279974_iggy_azalea_highsnobiety_007_17.jpg

Kupitia akaunti yake ya Twitter, Iggy ameandika, “I never had anyone’s car towed nor did I kick nick out of “my” house. The home belongs to nick, Iam the one moving. Thanks.”
Uhusiano wa Iggy na Nick uliingia dosari baada ya kuvuja kwa mazungumzo ya siri March 24 yaliyomhusisha Nick na mchezaji mwenzake D’Angelo Russell kuhusu kutongaza wanawake wengine.

No comments:

Post a Comment