Wednesday, June 22, 2016

RICH MAVOKO HATAKI KUUMBUKA TENA KISA KUTOJUA KIINGEREZA..

Kiingereza ni lugha inayotupa tabu Watanzania wengi na hakuna anayebisha kuwa kimekuwa kikitukosesha fursa nyingi za kimataifa au kujikuta tukiumbuka.

http://assets.audiomack.com/harakati-za-bongo/ded997ffbc4b9afcc8011b01ad6dbf8e.jpeg

Rich Mavoko ni mmoja wao na amesema atalazimika kufuata njia ya bosi wake, Diamond ili kujinoa zaidi kuepuka kuumbuka siku za usoni.
“Mwaka jana nilienda London, nikakutana na mtu anaongea Kiingereza pale pale lakini mbona kuna vitu sivielewi anavyoongea, alikuwa ni mhindi ambaye amezaliwa kule kule. Anaweza kuuliza maswali mengi ukaelewa matatu,” Mavoko ameiambia Bongo5.

Tazama video ya Mavoko akielezea.. CLICK

No comments:

Post a Comment