Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J amesema soko la
watayarishaji wa muziki nchini limeshuka ambapo zamani amedai walikuwa
wanarekodi wimbo mmoja kwa tsh 1 milioni tofauti na sasa ambapo amedai
ngoma moja inarekodiwa kwa tsh 30,000.
Akiongea na Bongo5 wiki hii, Master J amesema hali hiyo imefanya maisha ya watayarishaji wengi wa muziki kuwa chini.
“Sisi tulianza kwa kulipwa tsh 5,000, 10,000 mpaka tukafikisha tsh milioni 1 kwa kila nyimbo lakini sasa hivi nasikia bei zimeshuka mpaka 60,000,” alisema Master J.
Aliongeza, “Kwam hiyo kwa maproducer game siyo zuri lakini kwa wasanii game zuri sana. Wakati sisi wakati ule tulianza kwa tsh 5000, 10000 mpaka sasa hivi ni tsh 30,000 maana tsh 60,000 nawapendelea,”
Kutazama video ya Master J na Bongo 5 Bofya Hapa

No comments:
Post a Comment