Tuesday, July 26, 2016

50 CENT AJITOKEZA KWENYE AUDITION YA STAR WARS.

Rapper wa nchini Marekani, 50 Cent amejitokeza kwenye audition ya kutafuta watu watu watakaoshiriki kwenye filamu ya ‘Star Wars’ kupitia nafasi ya Young Han Solo.

50-cent-han-solo

50 Cent ameungana na mastaa wengine wa filamu akiwemo Melissa McCarthy, Adam Sandler, Jodie Foster, Bill Hader, na Will Arnett.

Hata hivyo 50 Cent hakufanikiwa kupata nafasi ya kuchaguliwa kushiriki kwenye filamu hiyo.

Tazama video hapa.

No comments:

Post a Comment