Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Roberto Martinez amemtaka straika wa
klabu ya Manchester United, Romelu Lukaku kuhakikisha anaongeza juhudi
na kufanya vizuri ili kujiongezea thamani yake.
Kocha wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Roberto Martinez
Martinez ambaye ni raia wa Hispania ameyasema hayo katika kipindi hiki ambacho Lukaku anakosolewa na mashabiki wa United kwa kushindwa kufunga mabao katika jumla ya michezo saba ya mashindano yote aliyocheza.
Straika wa klabu ya Manchester United, Romelu Lukaku
Romelu Lukaku anaechezea timu ya taifa ya Ubelgiji amesajiliwa na United kwa dau la paundi milioni 75 kipindi cha majira ya joto akitokea klabu ya Everton, kocha wa timu yake ya taifa Martinez amemtetea mchezaji huyo kwa kusema kuwa kushuka kwa kiwango chake ni kutokana na matatizo ya kisaikolojia.
“Nimenufaika na Romelu kwa kufanya nae kazi kwa zaidi ya miaka minne katika timu ya taifa ya Ubelgiji.” Amesema Martinez ambaye anakabiliwa na michezo dhidi ya Mexico na Japan.

Harrah's Resort Atlantic City - MapyRO
ReplyDeleteHarrah's 거제 출장마사지 Resort Atlantic City is an IHG Hotel and Casino with 2,200 rooms and suites, making 김포 출장샵 it the largest hotel in 군포 출장안마 the 포항 출장안마 world and 의왕 출장안마 one of the most