Msanii wa muziki Bongo, Banana Zorro amejibu taarifa za yeye kufulia.
Muimbaji huyo amesema suala hilo halina ukweli wowote kwani kila mtu anajiwekea mipango yake na anapoitizimiza tayari kafanikiwa.
Akizungumza na kipindi cha E-Newz cha EATV ameeleza kuwa moja ya mafanikio yake ni kuwa na Band yake kitu ambacho hamna msanii yeyote aliyefanya hivyo.
“Siwezi ku-display kila kitu nilichonacho am good, yeah!, I have my wife, my kids, yeah am well, I have my band na mimi ndio msanii pekee mwenye band ya kwake Tanzania nafikiri ni mafanikio makubwa sana na nimeajiri watu zaidi ya 20” amesema Banana Zorro.
“Nafikiri labda mafanikio tunayoyazungumzia ni upande wa global, hilo ndilo tunapandana nalo sasa hivi nyimbo zetu ziweze kufika katika channel kubwa kabisa ulimwenguni” ameongeza.

No comments:
Post a Comment