Friday, September 26, 2014

AFANDE SELE AKANUSHA KUWA NA MWANAMKE MWINGINE.

Rapper wa Morogoro, Afande Sele ameeleza kusikitishwa kwake na habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku kuwa ameonekana na mpenzi mpya siku moja baada ya kupita arobaini ya mzazi mwenzake, Mama Tunda.
 
 1184877_641324759317470_8644934034470494383_n

 Afande ametoa maelezo ambayo anadai ni ya kweli na siyo yaliyoandikwa na mwandishi aliyechapisha stori hiyo
 " Muda mwingine waandishi wanatakiwa kuandika vitu vya ukweli, uwezi kuja sehemu ukamkuta mtu kakaa na mwanamke ukaandika anatoka naye, huo ni uchafuaji wa majina ya watu, waandishi wanatakiwa kuripoti stori au habari ambazo wanauhakika nazo" Alisema.
Stori hii inaendelea, kusoma zaidi click HAPA.

No comments:

Post a Comment