
DAVIDO.
Wasanii wa Nigeria, Davido na Whizkid waliokua katika beef kubwa hapo kipindi cha nyuma hatimaye beef lao limekwisha, Davido katoa statement katika ukurasa wake wa twetter kwa kumpongeza Whizkid pamoja na P square kwa kuachia album zao mpya! kama hali itaenda hivi wawili hawa watakua poa na hakutakua na maneno ya hapa na pale kutokana kila mmoja ni star na kila mmoja anafanya vizuri katika muziki hivyo wengi wesingependa kuona wanapoteza muda kulumbana badala ya kufanya kile ambacho mashabiki wao wanakitarajia na kukipenda.

WHIZKID.
No comments:
Post a Comment