
Rapper
Octopizzo kutoka kule nchini kenya amengia kwenye headline hasa kwenye
upande wa mavazi,ambapo baadhi ya majarida yanandika kusiana na
uvaaaji wake ukiwa wa bei ghali zaidi ambapo hivi karibuni akiwa
Nairobi alioneka ameva viatu aina ya sneaker vinavyotengenezwa na
kampuni ijulikanayo kama Versace vyenye thamani ya shilingi 1,295
dollars (dollar za kimarekani sawa na shilingi 110000 za kenya,
na shilingi 2,188,550 za kitanzania). Kutazama picha za sneaker hizo Click HAPA
No comments:
Post a Comment