Friday, September 19, 2014

G NAKO KUACHIA NGOMA MBILI MPYA!!






Mwanamuziki kutoka kundi la WEUSI, G nako warawara anategemea kuachia ngoma mbili kwa wakati mmoja siku ya jumanne ya tarehe 23 mwezi huu. Hii ni kutokana na ukimya uliokuepo kwake kwa muda, sasa kaamua kutoa kazi hizo mbili kwa mpigo ili mashabiki wake wapate burudani walioisubiri kwa muda mrefu.! Kwa habari zingine za muziki, BOFYA HAPA G Nako kuachia ngoma mbili kwa mpigo. 

2 comments: