
Man Walter na Mkewe Matilda.

Producer
kutoka Combination Sound anaefanya vizuri nchini, Man Walter amepiga
hatua kubwa katika maisha yake baada ya kufunga ndoa na mrembo ambaye
alidaiwa kumuimbia wimbo wa ‘Wife material.
Hii ni Hatua kubwa sana katika maisha ya binadamu kutokana na kuonekana mastaa wetu wanaonekana swala la kuoa kuwa ni shida kwao, wapo baadhi ya mastaa wa muziki ambao wamefanikiwa kufanya hivyo yaani kuoa na baadhi yao waliowengi bado hawajaoa. Hatua aliyoipiga Producer huyu ni kubwa sana na ni mwanga kwa mastaa au maproducer wengine kuiga mfano wake.
No comments:
Post a Comment