Baada ya taarifa za Amber Rose kudai talaka kwa mumewe Whiz Khalifa, mume wa Mariah Carey Nick Cannon ambao nao ndoa yao imevunjika, amekanusha kua yeye ndio chanzo cha amber kuomba talaka.
Nick Cannon ambae kwa sasa ndie meneja mpya wa kazi za Amber rose, amedai hakuna kitu chochote kinachoendelea kati yao zaidi ya kazi tu.
Nick anadai kwamma Amber anamatatizo ya kifamilia na amefahamu hayo kupitia kwa mwanasheria wake baada ya kusaini nae mkataba kama mteja wake, na ndipo alipofaham ndoa ya Amber ina matatizo.
![]() |
| NICK CANNON & AMBER ROSE. |
Nick anadai kwamma Amber anamatatizo ya kifamilia na amefahamu hayo kupitia kwa mwanasheria wake baada ya kusaini nae mkataba kama mteja wake, na ndipo alipofaham ndoa ya Amber ina matatizo.
No comments:
Post a Comment