![]() |
BELLE 9. |
Akizungumza na Kiss Fm ya Mwanza jana, Belle alisema wimbo huo ni sehemu ya project yake mpya ya album yenye jina hilo.
“Ngoma tulifanya kwa Mona Gangster, Classic Sounds lakini mimi sikumtafuta Joh na yeye hakunitafuta, ni ushikaji tu wa muda mrefu, akija studio anasikiliza kazi zangu. Mimi naona siku hizi idea nyingi ambazo nimeshazifanya naona nina wito wa kufanya Vitamin, kwa sababu kila siku napenda kufanya kitu tofauti.
Kwahiyo naona kama huu ni muda wake kutoka wa hii track japo ni ya muda mrefu. Project Vitamin muziki ni album yangu mimi ya pili ambayo tayari ipo studio lakini kwenye Vitamin Music wimbo wenyewe ndio huu ulikuwa unabeba album. Kwahiyo nilipata idea baadaye nikaifanyia kazi, bro akasikiliza na yeye pia akafanya kazi kwenye verse ikawa track. Nimetoa hivi nikiangalia nina track nyingi halafu track ambazo ninazo hii ni tofauti sana na zile,” alisema. Kuskiliza na Kudownload click HAPA.
No comments:
Post a Comment