Wednesday, June 22, 2016

VIDEO: HUYU HAPA CHIDI BENZ ALIVYOKUWA ANATOKA REHAB

Tumemuona Chidi Benz zaidi kwa picha za kuvutia alizopigwa kwenye studio za Wasafi, lakini hatujaona video ya siku alivyotoka kwenye kituo cha rehab cha Life and Hope cha Bagamoyo.

13423409_851598878307369_755490870_n

Kupitia video hii ya Perfecto TV unaweza kuona akihojiwa na mtangazaji wa kipindi cha Harakati, Kalapina baada tu ya kutoka.

BOFYA HAPA KUCHECK VIDEO

No comments:

Post a Comment