Saturday, April 29, 2017

50 Cent kuja na kipindi kingine kipya BET

50 Cent anaonekana kuzidi kuvutiwa zaidi na utengenezwaji wa vipindi katika runinga – kiasi cha rapa huyo kusahau kufanya muziki.



Rapper huyo ambaye anatumia jina la Kanan katika tamthilia yake ya Power, amethibitisha kupitia mtandao wa Instagram kwamba yupo njiani kuachia kipindi kingine kitakachoonyeshwa katika kituo cha BET cha nchini marekani.

“You are gonna love this  you know I get the green light. #IGETTHEBAG,” ameandika kwenye picha hiyo iliyopo juu ambayo ameiweka katika mtandao huo.

No comments:

Post a Comment