Wapenzi wa masumbwi duniani wanasubiria kwa hamu kuona pambano la kukata
na shoka weekend hii, kati ya bondia kinda wa Uingereza, Anthony Joshua
dhidi ya mbabe wa Ukraine, Vladimir Klitschko.
Pambano hilo ambalo litapigwa katika uwanja wa Wembley, linatajwa na vyombo vya habari vya Uingereza, kuwa ndio pambano litaloweka rekodi ya kuingiza pesa nyingi zaidi katika historia ya nchi hiyo ikawa na makadirio ya kuingiza £50M.
Mabondia wanatarajia kupata mpaka kiasi cha £15m kwa kila mmoja.
Mchanganuo wa mapato ya pambano hilo ni kama ifuatavyo;
*Pambano hili linategemea kuangaliwa na watu wapatao 1.5m wakiwa majumbani, ambao watalipia kiasi cha £19.9 kila mmoja = £30m
*Uwanja wa Wembley unaoingiza watu 90,000, ambao watalipia tiketi zinazoanzia £60m mpaka £2,200, unategemea kutengeneza kiasi cha £8m.
*TV Station ya RTL yenye haki ya kurusha pambano nchini Ujerumani italipa kiasi cha £4m.
*Makampuni ya Cable TV ya kimarekani HBO na Showtime watalipa kiasi cha £2m kupata haki ya kurusha pambano hilo nchini Marekani.
*TV Rights za nyingine duniani zinatarajiwa kuingiza kiasi cha £1m, wakati £1m nyingine itapatikana kutokana na udhamini wa pambano na uuzaji wa merchandise.

No comments:
Post a Comment